Nampenda Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Nampenda Yesu - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow 254790511905
Niacheni niende
na Yesu niende
niacheni niende
chaguo langu mie
niacheni niende
na Yesu niende
niacheni niende
fahari yangu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
chaguo langu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
fahari yangu mie
aaaah
nimemchagua
wangu muathama
wala sibadili
chaguo langu mie
wamwite ikibali
wamwite majinuni
wamuite kafiri
fahari yangu mie
nimemchagua
yangu kwa hiari
wala sitakabari
fahari yangu mie
Niacheni niende
na Yesu niende
niacheni niende
chaguo langu mie
niacheni niende
na Yesu niende
niacheni niende
fahari yangu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
chaguo langu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
fahari yangu mie
lo-ooh!
pale msalabani
Yesu kanifia
mimi maskini
chaguo langu mie
ukome shetani
Yesu kanifia
mashaka sioni
fahari yangu mie
Mwana wa Mariamu
kabeba hukumu
mimi ni wa muhimu
fahari yangu mie
Niacheni niende
na Yesu niende
niacheni niende
chaguo langu mie
niacheni niende
na Yesu niende
niacheni niende
fahari yangu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
chaguo langu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
fahari yangu mie
lo-ooh!
kifo na kuzimu
vinamuheshimu
kashinda hukumu
fahari yangu mie
shetani thumimu
kapata wazimu
kwa Yesu patamu
chaguo langu mie
Baba usifiwe
Baba uinuliwe
Yesu uimidiwe
fahari yangu mie-eeeee
Niacheni niende
na Yesu niende
niacheni niende
chaguo langu mie
niacheni niende
na Yesu niende
niacheni niende
fahari yangu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
chaguo langu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
fahari yangu mie
Niacheni niende
na Yesu niende
niacheni niende
chaguo langu mie
niacheni niende
na Yesu niende
niacheni niende
fahari yangu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
chaguo langu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
fahari yangu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
chaguo langu mie
nampenda Yesu
nampenda
nampenda Yesu
fahari yangu mie-eeeeeeeeeh
lyric sync by Phellow 254790511905