Inua Moyo Wangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Inua Moyo Wangu - Angela Chibalonza
...
Inua moyo wangu ili mimi
nizungumze nawe
inua....
Inua moyo wangu ili mimi
nizungumze nawe
baba inua..
Inua moyo wangu ili mimi
nizungumze nawe
Mara nyingi shida
yasumbua moyoni
mwanadamu huogopa
nakunung'unika
ju ya nini Mungu
ameniacha lakini
bwana Yesu ni mwaminifu sana
lakini bwana Yesu ni mwaminifu sana
inua...
Inua moyo wangu ili mimi nizungumze nawe
Inua moyo wangu ili mimi nizungumze nawe
Inua moyo wangu ili mimi nizungumze
nawe
Jipe moyo mwanadamu
bwana Yesu anakuona
anajua unapolala na unapoamka
akiwa upande wako
nani atakuwa juu yako
usiwe na wasiwasi
nina imani yako
usiwe na wasiwasi
nina imani yako
inua...
Inua moyo wangu
ili mimi nizungumze nawe
bwana yesu inua.
Inua moyo wangu ili mimi
nizungumze nawe
Inua moyo wangu ili mimi
nizungumze nawe
kwa mganga wa kienyeji
hakuna jibu lolote
katika shida zangu
na matatizo yangu
neno la Mungu linasema
barikiwa mtu yule
anayemtumaini mungu
baba mwenyezi
anaye mtumaini mungu
baba mwenyezi
inua...
Inua moyo wangu
ili mimi nizungumze nawe
bwana Yesu inua
Inua moyo wangu
ili mimi nizungumze nawe
bwana Yesu inua
inua moyo wangu
ili mimi nizungumze nawe
baba inua
inua moyo wangu
ili mimi nizungumze nawe
baba inua
Inua moyo wangu
ili mimi nizungumze nawe
natamani kuzungumza nawe
Inua moyo wangu
ili mimi nizungumze nawe
mimi nakuitaji
inua moyo wangu
ili mimi nizungumze nawe
bwana inua
inua moyo wangu
ili mimi nizungumze nawe
bwana Yesu inua
inua moyo wangu
ili mimi nizungumze nawe