
Kaa Nami Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2008
Lyrics
Kaa Nami - Angela Chibalonza
...
Mmhh
Oooh
Hallelujah
Kaa nami Yesu
Bila wewe sita shinda dunia hii
Maadui zangu ni wengi
Wanatamani kunimaliza
Kaa nami bwana
Oooh hallelujah
Yahweh
Kaa nami
Ni usiku sana
Usiniache gizani bwana
Msaaada wako haukomi
Nili i pekee yangu kaa nami
Oooooo ooooh
Siku zetu
Hazikawii kwisha
Sioni la kunifurahisha
Hakuna ambacho hakikomi
Usiye na mwisho kaa nami
Ooooo ooh
Hallelujah
Kaa nami Yesu
Nakuhitaji usiku na mchana
HAja ya moyo wangu ni kwamba
Nikae na wewe milele
Nitembee na wewe
Nikule na wewe kila wakati bwana
Gusa maisha yangu
Ooh hallelujah
Asante bwana
Oooh
Mi nahaja na wewe Yesu
Hallelujah oooh Jesus
Hallelujah
Ninahaja na wewe kila saa
Sina mwingine wa kunifaa
Mimi nitaongozwa na nani
Ila wewe bwana
Kaa nami
Ooh hallelujah
Nakuhitaji bwana
Sichi neno
Uwapo karibu
Nipatallo lolote si taabu
Kifo na kaburi haviumi
Nitashinda kwako .,kaa nami
Eee Haleluya
I need you jesus
Nakuhitaji bwana Yesu
Yesu anhudimia maisha yako
Bwana anagusa nyumba yako
Anagusa familia yako
Bwana anagusa nyumba yako