
Kaa Nami Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Kaa Nami - Angela Chibalonza
...
Kaa nami ninusiku sana usiniache gizani Bwana, msaada wako haukomi ili pekee yangu kaa nami
Ooooh hooo siku zetu hazikawii kwisha sioni lakunifurahisha hakuna