Nifanane Naye Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Nifanane Naye - Angela Chibalonza
...
Mmmh.MMh Halleluya! (Ninataka Nifanane Nawe Yesu)... (Kila siku ya maisha yangu) Ninataka nifanane nawe Siku Zote Za Maisha Yangu ooh Nilitamani nifanane Wanadamu Lakini Wote Wanabadilika
Ninataka nifanane nawe
Maana wewe Haubadiliki
Ninataka nifanane nawe
Ee eh eh Baba
Ninataka nifanane nawe
Ee eh eh Baba
Kila siku ya maisha yangu
Ee eh eh Baba
Ninataka nifanane nawe
Ee eh eh Baba
We ni mwingi wa Rehema
Baba
Ee eh eh Baba
Ooh Mwepesi wa Hasira
Ee eh eh Baba
Nilikuwa na Rafiki Yangu
Tuliyependana Sana
Siri zetu za Usichana
Tuliambiana
Maombi ya kufunga
Na kuomba
Tulifanya Pamoja
Nilikuwa
Na Mchumba wangu Aliyenipenda
Sana
Kumbe
Rafiki Yangu
Alikuwa Mnafiki
Tulikuwa Tukiachana
Anaenda
Kwa Mchumba Wangu
Anaanza Kunisengenya
Na Kunisemea
Uongo
Kilichofuata Nikapata
Nimekataliwa
Kilichofuata Nikawaona
Pamoja
Hapo Ndio Nikaelewa
Mwanadamu Ni Nani
Usifungue Moyo Wako Ndugu
Kumwambia Siri Zako
Siri za Moyo Wako
Mwambie Yesu
Eeh
Ninataka nifanane nawe Baba
Ee eh eh Baba
Ninataka nifanane nawe
Ee eh eh Baba
Ndani Yako Hamuna Unafiki
Ee eh eh Baba
Ooh Ndani Yako Hamuna Chuki
Ee eh eh Baba
Wewe ni mwingi wa Rehema
Yahwee
Ee eh eh Baba
Ooh Mwepesi wa Hasira
Ee eh eh Baba (ooh Halleluya)
Yeye Achunguzaye
Mioyo ya Wanadamu
Anajua Maisha Yako
Na Siri Zako Zote
Mwambie Siri Zako
Yeye Anajibu
Fungua Moyo Kwa
Bwana Yesu Yeye Anajibu
Ategemeaye Mwanadamu
Amelaaniwa
Aaangaliaye Mwanadamu
Amelainiwa
Nataka nifanane nawe
Ee eh eh Baba
Nataka nifanane nawe
Ee eh eh Baba
Oh Ndani Yako Hamuna Chuki baba
Ee eh eh Baba
Oh Ndani Yako Hamuna Unafiki
Baba we ni mwingi wa Rehema
Ee eh eh Baba
Tena Mwepesi wa Hasira
Mimi Nataka nifanane na Yesu Wangu
Ee eh eh Baba
Ooh Nataka nifanane Yesu eeh
Ee eh eh Baba
Mmh Nataka nifanane Yesu
Ee eh eh Baba
Ooh Nataka nifanane Yesu Wangu
Ee eh eh Baba
Ndani Yake Hamuna Unafiki
Ee eh eh Baba
Ndani Yake Hamuna Chuki
Ee eh eh Baba (Halleluya)
Halleluya!
Asante Yesu
Maana Ndani yako Hakuna Unafiki