Ulinumba Nikuabudu Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2017
Lyrics
Ulinumba Nikuabudu - Angela Chibalonza
...
Yahweh eeh uhimidiwe uaminifu wako umejulikana kwa mataifa yote ya ulimwengu Yahweh
Yahweh uhimidiwe uaminifu wako umejulikana kwa mataifa yote ya ulimwengu Yahweeeee
Uliumba lakini haukuumbwa eeh
jina lako jemedari ninakwinua
jina lako mukombozi ninakupenda
umefuta jina langu kwenye hukumu
umefuta jina langu kwenye laana
ndio maana nakwinua mungu wangu
kwa sababu siko tena chini ya dhambi
Yahweh eee uhimidiwe uaminifu wako umejulikana kwa mataifa yote ya ulimwengu Yahweh eee
Yahweh eeh uhimidiwe uaminifu wako umejulikana kwa mataifa yote ya ulimwengu Yahweh eee
kama si wewe yesu ningeitwa nani oooh
kama si wewe yesu ningekuwa wapi eee
kama si wewe yesu ningeenda wapi iii
kama si wewe bbaba ningesema nini eee
Asante bwana yesu kwa ukombozi eee
Asante bwana yesu kwa wokovu uu
ndio maana nakwinua mungu wangu eeee
umeniokoa Mimi kwa damu ya beiiii
umenitendea mambo ya ajabu eeee
ninakwinua baba yanguuuuu
Yahweh eeh uhimidiwe (hallelujah) uaminifu wako umejulikana (kwa mataifa) kwa mataifa yote ya ulimwengu( Yahweeeee eee(yaaaaweee)
Yahweh eeh uhimidiwe (himidiwa maishani yangu ) uaminifu wako umejulikana (hallelujah) kwa mataifa yote ya ulimwengu Yahweeeee eee
majina yote mazuri ni yako baba aaa
unaitwa jehova shammaa ninakupenda ee
unaitwa Jehovah jireh ninakupendaoh
unaitwa Jehovah nissi bendera ya ushindi wangu ee
Asante baba yangu kwa upendo wako
hakuna mwingine kama wewe ee
hakuna mwingine kama wewe ee
ninakupenda baba yanguuuuu
Yahweh eeh uhimidiwe (himidiwa) uaminifu wako (uaminifu wako) umejulikana (hallelujah) kwa mataifa yote ya ulimwengu(massiyaa) Yahweeeee
(yahwee) Yahweh eeh uhimidiwe (himidiwa maishani mwangu) uaminifu wako umejulikana(umejulikana mahali pote) kwa mataifa yote (hallelujah) ya ulimwengu(acha tuseme) Yahweeeee eee
yaaaaweee, Yahweh eeh uhimidiwe uaminifu wako umejulikana kwa mataifa yote ya ulimwengu Yahweeeee eee
Yahweh eeh uhimidiwe uaminifu wako umejulikana kwa mataifa yote ya ulimwengu Yahweeeee eee