![Uliniumba Nikuabudu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/3C/1B/rBEeNFlH88yASG0DAACVL1D0cCc137.jpg)
Uliniumba Nikuabudu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Uliniumba Nikuabudu - Angela Chibalonza
...
(instrument*)
Halleluyaaaa..uliniumba nikuabudu bwana
Uliniumba nikuabudu(uliniumba nikuabudu)
Kwaajili yako Mimi naishi(ooooh) baba(uliniumba nikuabudu)
Pasipo wewe(ooooh)singekuepo(uliniumba nikuabudu)
Mimi ni kazi ya (oooooh) mikono yako baba(uliniumba nikuabudu)
Baba ninaona nikuabudu
Maana matendo yako ni mengi sana
Ishara zako baba ni nyingi muno
Maana wewe Ni Mungu wangu
umeniumba niseme matendo yako
maana wewe ni Mungu wa Miunguu weeeeeeee halleluyaaaa baba
Wewe kimbilio letu na ngome yetu
hakuna aliye kama weeee
Uliniumba nikuabudu baba(uliniumba nikuabudu)
pasipo wewe (oooh) Mimi singekuepo(uliniumba nikuabudu)halleluyaaaa
kama si wewe(ooooh) singeliishi baba(uliniumba nikuabudu)
kwaajili yako(ooooh) Mimi naimba( uliniumba nikuabudu)
Maneno ya kusema yananikosa
maana matendo yako ni ya ajabu
maana ishara zako ni nyingi muno
kwa macho nimeona makuu yako
masikio nimesikia matendo yako
ndio maana nimetambua ya kwamba niliumbwa nikuabudu weeeeeeee
Mungu wa mileeeeleeeee halleluyaaaa ooooh
Uliniumba nikuabudu baba(uliniumba nikuabudu)
kwaajili yako(ooooh)Mimi naishi ooo ooo(uliniumba nikuabudu)
umenipa sauti(oooh)nikuimbie baba(uliniumba nikuabudu)
hata watu wote (ooooh)wanajua yeee yee(uliniumba nikuabudu)baba oooh
(uliniumba nikuabudu)ninasema uliniumba eeeh(oooh uliniumba nikuabudu)
wewe ni nuru ya maisha yangu baba(oooh uliniumba nikuabudu)
Wewe Ni mwamba wa imani yangu baba( ooooh uliniumba nikuabudu)
(((((ooooooh halleluyaaaa Yes mataifa yote ya dunia njoo tumwimbie Bwana
maana fadhili zake ni za milele
Daudi anasema hata wakati moyo wangu unakuwa na uwoga ni kwako Mungu ninajileta maana hakuna aliyekutumainia akapata haya))))))
Halleluyaaaa Yesu ni mfalme (uliniumba nikuabudu)
Uliniumba nikuabudu eee(oooh uliniumba nikuabudu)
mataifa yote munisikie(ooooh uliniumba nikuabudu) halleluyaaaa
pasipo Yesu Mimi singelikuepo(ooooh uliniumba nikuabudu)
kama si wewe singeliishi eeeeeh ooooh(ooooh uliniumba nikuabudu)
Wewe ni mwamba wa maisha yangu ooooh(ooooh uliniumba nikuabudu)
Umekoa wazazi wangu(ooooh uliniumba nikuabudu)
Umeokoa taifa lako yeeee yeee(ooooh uliniumba nikuabudu)
uuuuuuuh yeeee yeeeeee