
Sitaki Kujibu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Sitaki Kujibu - Martha Mwaipaja
...
combination sounds
oooo ooo ooh
Mimi ninamjua nilie mwamini
ndiyo maana nimetulia nimetulia tulia
Mimi ninamwelewa yesu wangu
ndiyo maana nimenyamaza nimenyamaza nimenyamaza
namwelewa Yule aliye niita ndiyo maana nimetulia nimetulia
namjua Sana aliye niitaa maana nimenyamaza nimenyamaza nimenyamaza
sitaki kujibu niwe nimejibu jibu
nataka nikijubu mungu awe yangu jibu
sitaki kusema niwe nimesema sema
nikisema mungu awe amesema lalalala
mungu akitaka kutenda aah anakuja mwenyewe
mungu akitaka kusaidiaaah kweli anashuka mwenyewe
alimwambia mussa nakutuma mwanangu
nenda kwa farao
mungu alimwambia mussa aah nakutuma kwa farao
nenda kamwambie farao Niko ambaye Niko amenituma
nenda kawaambie wote Niko ambe Niko amenituma
saa kafika kwa farao kamwambia nimetumwa na mungu
anataka uwaruhusu watu wake nakilakitu Chao waende zao
haya ninayo sema sijasema mwenyewe ninayo kwambia ni mungu kasema
ninayo kueleza farao simimi nimesemaa
ninayo sema ni mungu kasema ooyoyoyoyo
sitaki kusema niwe nimesema sema
nataka nikisema mungu awe amesema
sitajibu jibu iwe nime jibu jibu
nataka nikijibu mungu awe amejibu
sitaki kusema niwe nimesema sema
nataka nikisema mungu awe amesema
sitaki kujibu niwe nimejibu jibu
nataka nikijibu mungu awe amejibu
sitaki namwacha baba aseme
aaahaah
yupooo mungu anae tujua yupo mungu
aaana jua unayapitia anajua
aah mungu wetu anaona
wanavyo kutesa anaonaa
aaanaelewa kabisa wamekulipa mabaya anaona
nakwambia mungu wetu anajua ujawakosea kitu
anajua
peke yake anatambua ujatenda mabaya anajua
usijibu kitu uwe umejibu jibu
sikuukiijibu mungu awe amejibu
usimseme kitu uwe umesema sema
ukisema mungu awe amesema eeeeeh
sitaki kusema niwe nimesema sema
nataka nikisema mungu awe amesema
sitajibu jibu iwe nime jibu jibu
nataka nikijibu mungu awe amejibu
sitaki kusema niwe nimesema sema
nataka nikisema mungu awe amesema
sitaki kujibu niwe nimejibu jibu
nataka nikijibu mungu awe amejibu
atajibu baba atajibu kwajiili yakoo haa
asanteee mungu wetu
unaishi milele kwako tuna msahada
haleluya