
Nani Ajuaye Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Nani Ajuaye - Martha Mwaipaja
...
"Nani ajuaye( x2) Maumivu ya pito langu ni nani ajuaye . Nani awezaye (x2) Yabeba maumivu ya mtu ni nani awezaye . Nani awezaye (x2) Yabeba yakutesayo ni nanii. Nani ajuaye( x2)Maumivu ya moyoni mwako ni nanii" Umesema na wangapi , umeeleza wangapi nani ameweza kukusaidia. Umesema na wangapi , umewaeleza wangapi nani kawezaa kukusikiliza. Asipokusikia Mungu asipotenda mwenyewe ni nani awezaye kukutendea. Asipotenda Baba,asipojibu Mungu nani awezaye kukusikiaa. (Ni nani ni nani)>"kiitikio " Wakati wa Yesu kwenda msalabani,aliketi na wanafunzi wake akasema ; Roho yangu ina huzuni kiasi cha kufa,Mwana wa Adamu aenda kama alivyoandikiwaa, Akasema twendeni wote tukaombee wanafunzi wakalala wakamwacha pekee yakee, Akasema Yesu,ombeni namiii, ombeni namii Ombeni namiiii. kwa sababu wanafunzi hawakujua maumivu ya Yesu,wote wakalala wakamwacha pekee yaaakee . Akarudi kwao akasema tena hamjaomba nami hata saa mojaaa tuu, ombeni pamoja nami Moyo wangu unasononeka wanafunzi hawakuweza kuyabeba maumivu ya Yesu .