Sipiganagi Mwenyewe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Sipiganagi Mwenyewe - Martha Mwaipaja
...
mwenzio sipiganangi mwenyewe ninapiganiwa na baba x2
mwenzio sishindani mwenyewe ninashindaniwa na baba
mwenzio sipiganangi mwenyewe napoganiwa na baba
mwenzio sipoganangi mwenyewe napoganiwa na baba
mwenzio sipogani mwenyewe
mwenzio sishindani mwenyewe
mimi vita sijui
mimi vita siwezi
asema nitulie atajibu
kuna majira vita ilikuja kwangu
kuna majira watesi waliniinukia
kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe
nikasikia sauti nikasikia sauti
sauti imeubemba ushindi
sauti imeubemba ushindi wanguu aah
ikaniambia mimi ni baba yako
usipogane mwenyewe mwanangu
usipambane mwenyewe nakupogania aah
mwenzio sipiganangi mwenyewe napiganiwa na baba
mwenzio sishindani mimi nashindaniwa na baba aah
mwenzio sipiganangi mwenyewe ninapiganiwa na baba
mimi sipambani mimi napambaniwa na yahweh aah
mwenzio sipiganangi mwenyewe ninapoganiwa na baba
mwenzio vita nimekataa natetewa na baba aah
mwenzio sipiganangi mwenyewe ninapoganiwa na baba
unapambana na mimi bure
unashindana na mimi bure
mwenzio sijawai jitetea
mimi sijawai jipigania
tangu utoto amehakikisha
ananilinda mimi niwe salama
hauwezi acha leo nizame
kama jana alinitetea
kamwe leo sitaangamia
kama jana amenitetea
leo kamwe sitaangamia
sishindanagi mwenyewe nashindaniwa na Bwana
mwenzio sishindanangi mwenyewe nashindaniwa na baba
mwenzio sipiganangi mwenyewe napigaaniwa na baba
mwenzio sipiganangi mwenyewe ninapiganiwa na baba
mwenzio sishindani mwenyewe nashindaniwa na yahweh aah
mwenzio sipiganangi mwenyewe ninapiganiwa na baba
mwenzio sipiganangi mwenyewe napiganiwa na baba aah
usipigane mwenyewe
usipambane mwenyewe
anajua boliati anapotokana
anajua watesi wanapotesa
kulikua na nebuchadnezzar aah
aliwakusanya watu wengi sana aah
alitaka wote wamwabudu
walikuwepo vijana watatu
shadrach mishak abedenego
akawatisha kwa moto mkubwa
alitaka vijana wamwabudu
vijana wakamwambia
vijana wakamweleza
hatupigani wenyewe
hatushidani wenyewe
hatujitetei sisi
hatupambani wenyewe
twapambaniwa na baba aah
mwenzio sipiganangi mwenyewe napiganiwa na baba
usipambane mwenyewe atakupambania tuu
mwenzio sipiganangi mwenyewe ninapoganiwa na baba
tulia tulia atakushidia tuu
mwenzio sipiganangi mwenyewe ninapiganiwa na baba
jitahindi kuendelea utashida vita tuu
mwenzio sipiganangi mwenyewe ninapiganiwa na baba