
Amenitengeneza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Amenitengeneza - Martha Mwaipaja
...
Oooh ni kwa neemaaa
Neema itufanyayo tumebadilika
Amenitengeneza huyu baba aaah
(Amenitengeneza )
Amenitengeneza huyu baba aaa
( Amenibadilisha)
Amenitengeneza huyu baba aaaah
(Amenitengenezaaa)x2
Jana nililia mwenzio,Amenitengeneza huyu Baba aaah
Jana niliteswa sanaaa
,Amenitengeneza huyu Baba aaah
(Amenibadilisha)x2
Jana nilifukuzwa
(Amenitengeneza huyu Baba aaah)
Jana nilikimbiwa na wengi mwenzenu ah
Leo nimenyamazaa aahaa x2
Amefanyaaaa leo niimbee
Yesu amefanya leo niimbee
Amenipenda kuliko nilivyofikiriii
Amenitunza kuliko nilivyoodhaniaa
Alinitoa kule wengime walitaka nibakie
Alinitoa kule wengine walitaka niliee
Alinibembeleza namimii heeei
Alinifanya kuwa neema kati ya wenye neema
Sikujua namimi leoo nitabadilikaa
Maana jana yangu nililia aah aaaah
Maana jjan yangu niliteseka aah aaah
Nakwambia nimetengenezwa na babaa
Nikweli mimi nimebadilishwa na babaa
Amenipenda kiasi kilee siikujuaa
Usinione hivi nilivyoo amenipenda babaa