
Mimi ni mpitaji Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Mimi ni mpitaji - Martha Mwaipaja
...
mimi ni mpitaji katika dunia
makao yangu ni kwa baba juu
baba yangu kaniandalia makao
alipo yeye nami nipo niwepo
kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu
kwangu mimi ni kwa baba juu×2
...............................
naish ninajua niko hapa kwa mudaaaa makao ya milele ni mbinguni kwa babaa
magumu yanipatayooo yote ni ya kitambo
nyumbani kwa baba kule hakuna dabu
yeye si mwanadamu hata aseme uongo akisema mwokozi ni nani atapinga ingawa dhiki ipo moyoni sitahofu ameenda kuandaa anarudi kunitwaaa nitaubeba msalaba hata kama ni kwa shida..ninajua yesu wangu anarudi kunitwaa
kasema asiye na shaka huyo atamwona
sina shaka na baba ywaja kunitwaaa
....... mimi ni mpitaji katika dunia
makao yangu ni kwa baba juu baba yangu kaniandalia makao alipo yeye nami nipo niwepo kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu kwangu mimi ni kwa baba juu ×2
...........
nasema hatamuacha wake daimaaa mimi nipo na baba sitaachwa yote ya dunia yanapitaaaa makao ya baba yadumu daimaaa ninajiweka tayari kumngoja atakaporudi baba atanitwaaa sitahofu nikipita katikati ya mateso nimewekewa taji ya ushindi mbinguni mimi ni wa dhamani mbele zake baba hawezi kuniacha yuko nami daimaaaa
mimi ni mpitaji katika dunia makao yangu ni kwa baba juu baba yangu kaniandalia makao alipo yeye nami nipo niwepo kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu kwangu mimi ni kwa baba juu ×2
.................
baba mama kaka dada wote twendeni tukauone mji ulioandaliwa alisema kule mbinguni makao ni mengi tukazeni mwendo wote tukafike ni mtakatifu yeye asiye na mawaaaa tujitahidi wote tukamwone kwa uso anakuja baba na ujiraaaa wote twendeni tukamuone kwa uso aliupenda ulimwengu anarudi wote twendeni tukamuoneeee
mimi ni mpitaji katika dunia makao yangu ni kwa baba juu baba yangu kaniandalia makao alipo yeye nami nipo niwepo kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu kwangu mimi ni kwa baba juu ×2