
Tuliko toka ni mbali Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Tuliko toka ni mbali - Martha Mwaipaja
...
Tulipotoka ni mbali ni mungu katutoa na kule tunapokwenda atatufikisha wengine tusinge kuwa tulivu ila mkono wa aliyetufikisha hapa atatufikisha tuendapo tulipotoka n mbali sana ni mungu katutoa na kule tunapoenda atatufikisha wengine tusingekuwa tulivu ila mkono wa mungu aliyetifikisha hapa atatufikisha tuendapo
Verse2
Hatuna shaka na mungu katutoa
aliyetutoa mbali hawezi kushindwa kutufikisha tuendapo
tumaini la wengi kimbilio la wengi
kila aliyemkimbilia amekuwa salama kiongozi mwema wa safari tuliyo nayo tukipotea njia yeye ni mchungaj mwema tunatiwa moyo na wana israel walipoikosa njia mungu alifanya njia tunatiwa moyo na mtu wa mungu danieli ndani ya tundu la simba mungu akamuokoa tunatiwa nguvu na mtu wa mungu elia katikati ya miungu