![Tunakuja Nairobi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/25/2a6de922f35842cfa5fc2bc05e97d14e_464_464.jpg)
Tunakuja Nairobi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Tunakuja Nairobi - KMK MAKUBURI
...
Nairobi
Nairobi
Haya haya haya haya haya, (tuende) Nairobi.
TUNAKUJA Nairobi, Kusali ii
TUNAKUJA Nairobi Kusali, Pamoja
TUNAKUJA Nairobi Kusali ii (tunakuja)
Kuombea uchaguzi wa Nchi Nchi ya Kenya
TUNAKUJA Nairobi Kusali sote
TUNAKUJA Nairobi Kusali na Wakenya
TUNAKUJA Nairobi Kusali ii, (tunakuja)
Kuombea uchaguzi wa Nchi Nchi ya Kenya
TUNAKUJA Nairobi kwa moyo wa ibada
TUNAKUJA Nairobi Kusali Pamoja wapendwa
TUNAKUJA Nairobi Kusali ii, (tunakuja)
Kuombea uchaguzi wa Nchi Nchi ya Kenya
Njooni Nairobi, njooni Nairobi, njooni tushikane
Njooni tusali wakenya, njooni (tuungane)
Njooni tusali watu wote wapendwa, tuombee
Njooni tusali wakenya njooni, (uchaguzi)
Njooni tusali watu wote wapendwa
Njooni tusali wakenya njooni (kwa amani)
Njooni tusali watu wote, Pamoja
Instrumentals
Kenya ni nzuri Nchi yenye tunu? nyingi
Tuiombee ili isipungu,? tushikane
Njooni tusali wakenya, njooni (tuungane)
Njooni tusali watu wote wapendwa, tuombee
Njooni tusali wakenya njooni, (uchaguzi)
Njooni tusali watu wote wapendwa
Njooni tusali wakenya njooni (kwa amani)
Njooni tusali watu wote, Pamoja
Instrumentals
Kenya inaingia kwenye uchaguzi,
Tuiombee upite salama, tushikane
Njooni tusali wakenya, njooni (tuungane)
Njooni tusali watu wote wapendwa, tuombee
Njooni tusali wakenya njooni, (uchaguzi)
Njooni tusali watu wote wapendwa
Njooni tusali wakenya njooni (kwa amani)
Njooni tusali watu wote, Pamoja
Instrumentals
Kenya ni ndugu zetu Watanzania,
Mafanikio yenu ni yetu, tushikane
Njooni tusali wakenya, njooni (tuungane)
Njooni tusali watu wote wapendwa,(tuombee)
Njooni tusali wakenya, njooni (uchaguzi)
Njoni tusali watu wote wapendwa
Njooni tusali wakenya, njooni (kwa amani)
Njoni tusali watu wote, Pamoja.
Instrumentals
Kizito makuburi, na Watanzania wengine,
Tunakuja Nairobi, tukutane hapo tusali, Pamoja
Njooni Nairobi, njooni Nairobi
Naam tuungane (sote), Naam tuungane (sote)
Njooni, Njooni njooni Nairobi
Njooni, njooni, njooni Nairobi, njooni tusali
Njooni Nairobi, njooni Nairobi
Naam tuungane (sote), Naam tuungane (sote)
Njooni, Njooni njooni Nairobi
Njooni, njooni, njooni Nairobi, njooni tuombee
Njooni, njooni, njooni Nairobi,
Njooni, njooni, njooni Nairobi, Njooni tusali
Njooni njooni, njooni Nairobi
Njooni, njooni, njooni Nairobi, njooni tuombee
Njooni, Njooni njooni Nairobi
Njooni, njooni, njooni Nairobi, njooni tusali
Njooni Nairobi, njooni Nairobi
Njooni, Njooni njooni Nairobi, njooni tuombee
Instrumentals