![Mimina Neema](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7A/9A/rBEeMVsw8hqAFGhBAADv4KIMzGk883.jpg)
Mimina Neema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Mimina Neema - Kwaya Ya Mt.Kizito
...
Mimina, kama vile zilivyojaa juu,
Mimina ziteremshe tuzipokee, Bwana
Mimina neema zako, mimina, kati yetu,
Mimina neema tele, mimina, Mungu wetu,
Mimina leo neema nyingi mimina, tufurahi
Mimina, Bwana mimina,
leo mimina ee Bwana mimina.
Mimina neema zako, mimina, kati yetu,
Mimina neema tele, mimina, Mungu wetu,
Mimina leo neema nyingi mimina, tufurahi
Mimina, Bwana mimina,
leo mimina neema mimina
Mimina, ulivyomimina kwa Abrahamu,
Mimina, uwamiminiavyo wamchao, Bwana
Mimina, tujae nguvu za kukutukuza,
Mimina, tukazieneze sifa zako, Bwana
Twakuinulia mikono, huko uliko juu,
Ttazama wana wako, tunaomba neema)
Mimina neema mimina (Bwana Mungu),
Mimina neema mimina,
Tunaomba Bwana ( ewe Mungu) mimina,
mimina neema mimina;
Mimina kwa wote tulioko hapa tujaze neema mimina,
Mimina hata kwa walioko mbali
peleka neema mimina,
Mimina usiku mimina mchana
mimina neema mimina,
Mimina masika mpaka kiangazi
daima neema mimina,
Mimina neema mimina (Bwana Mungu),
mimina neema mimina daima!
~ Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi Dar