![Wewe Ni Mungu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7A/9A/rBEeMVsw8hqAFGhBAADv4KIMzGk883.jpg)
Wewe Ni Mungu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Wewe Ni Mungu - Kwaya Ya Mt.Kizito
...
Sikia sikia bwana sauti yangu,
Sikia sikia leo sikia bwana sauti yangu,
Hii ni sauti inaneba hisia zangu zilozomo moyoni mwangu sikia bwana sauti yangu, Naeleza furaha niliyonayo na hamu ya kukushukuru sikia bwana sauti yangu Nakufunulia moyo wangu ipo waz nkumininia sifa n tenzi ninapoga kelele sikia bwana sauti yangu
sikiaaa sikia bwana sikia bwana sauti yangu, moyo moyo wangu wangu moyo
nimejua yakwamba we we mungu kila wakati, naona kweli kwamba we we ni mungu kila wakati †**********†