![Nimeonja Pendo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6D/A9/rBEeMVqndvCAdDMPAACtP6MlGTc496.jpg)
Nimeonja Pendo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Nimeonja Pendo - KMK MAKUBURI
...
nimeonja pendo lako nimejua u mwema,, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu weee,,nitawaongoza vyema, waimbe kwa furaha,, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu weee, ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
kinammaa simameni piga vigelegele, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,, na kina baba nyanyuka mkapige makofii, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,, ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
watu wote nesa nesa chezeni kwa furaha nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,, inua mikono juu mshangilieni Bwana nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
watawa washangilie makasisi waimbe,, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe, walei warukeruke waseme aleluya nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe .ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
vitambaa mikononi vipeperushwe juu nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,, na vichwa vuyumbe yumbe kwa mwendo wa kuringa, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
nitakushukuru mi-m na nyumba yangu yote nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe, nitaleta na zaa-ka ya maisha yangu yote nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,