![Akawanyeshea Mana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/02ed2827896a48ecadfda69dfa5da0d9.jpg)
Akawanyeshea Mana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2007
Lyrics
Akawanyeshea Mana - KMK MAKUBURI
...
Aka-wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale.
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Mambo tuliyo yasikia yakuyafahamu
Ambayo baba zetu walituambia
Hayo hatutawaficha wana wao
Huku tukiwaambia kwa …..
Sifa ,sifa za bwana na nguvu zake
Aka-wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Na kelele aliamuru mawingu akaifungua
Aaah aah aah
Milango ooh ooh oh
Ya— mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Aka-wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Mwanadamu akala chakula cha mashujaa
Aliwapelekea chakula ,cha kuwashibisha chakula cha kuwashibisha
Aka-wanyshea mana ili wale
Aka-Wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale
Aka-wanyeshea mana ili wale
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni
Akawapa nafaka ya mbinguni.
By @Jonas (stuar.t_b)mnipawa