![Makao Yetu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7A/9A/rBEeMVsw8hqAFGhBAADv4KIMzGk883.jpg)
Makao Yetu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Makao Yetu - KMK MAKUBURI
...
wewe bwana umekuwa makao yetu sis kizazi baada ya kizazi wewe bwana umekuwa makao yetu sisi kizazi baada ya kizazi kabla haijazaliwa milima yote kabla haujaiumba dunia yote tangu milele yote ndiwe Mungu ×2
wamrudisha mtu mavumbini usemapo rudini rudini rudini enyi wanadamu
wewe bwana hmekuwa makao yetu sisi kizazi baada ya kizazi wewe ×2
kabla haijazaliwa milima yote kabla haujaiumba dunia uote tangu milele yote ndiwe Mungu ×2
maana miaka elfu machoni pako ni kama siku siku ya jana ikisha kupita ni kama kesha la ucku
wewe bwana umekuwa makao yetu sisis kiizazi baada ya kizazi wewe bwana umekuwa makao yetu sisis kizazi baada ya kizazi×2
kabla haijazaliwa milima yote wala haujaiumba dunia yote tangu milele yote ndiwe Mungu×2
................. kuwa kama ucingizi eeenh eeenh asubuhi huwa kama majani yameao asubuhi huchipuka na kumea jioni yanakatika jioni na kukatkka
wewe bwana umekuwa makao yetu sisis kizazi baada ya kizazi ×2
kabla haijazaliwa milima yote wala haujaiumba dunia yote tangu milele yote ndiwe Mungu×2
na uzuri wa bwana oooh uzuri wa bwana na uzuri wa bwana eeenh uzuri wa bwana bwana Mungu wetu eeeenh mungu wetu na kazi ya mikono eeenh uithibitishe utufanyie fanyie eeeenh kazi ya mikono yetu uithibitishe ×2