![Apewe Sifa](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7A/9A/rBEeMVsw8hqAFGhBAADv4KIMzGk883.jpg)
Apewe Sifa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Apewe Sifa - Kwaya Ya Mt.Kizito
...
sifa na utukufu vyote ni kqa Mungu eeeenhhhh!!! utukufu nkupa we we sifa na heshima nakupa we eeenh mwenyenzi unaweza nguzo ya moto aliwasha imulike usiku nayo mawingu akashusha ipite mchana nakumbuka mapito niliyoyapitia nalumbukuka na njia zake nilzopitia tazama Mungu tazama we we (tazama tazama wewe) unatimiza ahadi yako utukufu nakupa we we utukufu nakupa sifa na heshima nakupa we we ewe mwenyezi unawezaaaaa jemedari mwenye maguvu yule goliati akamnasa na kombeo mkononi mwake nakumbuka alitembea mawimbi ya maji nakumbuka yalimtii tukavuka ng'mbo tazama Mungu tazama wewe unatimiza ahadi yako utukufu nakupa we we utukufu nakupa we sifa na heshima nakupa we we ewe mwenyez unaweza bahari haiwezi kutuzuia tunatembea bila mitumbwina maji yangeuka kuwa ukuta Mungu mwenyewe ni mtumbwi wetu tunavuka maana amesema tumfuate tunatembea bila mitumbwi mizigo itulemeayo tukampe Mungu mwenyewe n mtumbwi wtu tunavukamuhimu tumwendee tukiamini tunatembea bila most mtumbwi na hta juu ya maji tutakanyaga Mungu mwenyewe ni mtumbwi wetu tunavukaa alimkumbuka daudi mtumishi wake akamkweza akawavusha waisraili katka maji bila mtumbwi apewe apew sifakuu Mungu apewe sifa na utukufu vyte ni kwa Mungu