![Tumfanyie Shangwe](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6D/A9/rBEeMVqndvCAdDMPAACtP6MlGTc496.jpg)
Tumfanyie Shangwe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Tumfanyie Shangwe - KMK MAKUBURI
...
njooni tufanyie shangwe mungu wetu×2
inukeni wote tuimbe pamoja(njooni tumfanyie shangwe mungu wetu)
kwa miondoko ya raha na kucheza(.....…)
kwa ngoma safi tamu na za miduniko(.......)
chorus
tumpigie makofi makofi makofi
makofi×3
Ona ametenda wema wa ajabu(.......)
machozi yameyageuza kicheko(..….)
tumwimbie leo tumsifu yeye(.…..)
tukipigapiga vifua kwa maringo(.…..)
( chorus )
Tumpungieni mikono kwa madaha(........)
ajue kwamba leo tumefurahi(..…)
na shingo zinesenese kwa midundo(..…)
mwili huyumbeyumbe kushoto kulia(..….)
( chorus )
Na watoto nao wabebwe juujuu(....)
wajue kwamba mungu anawapenda(.….)
umati wote urukeruke juu(......)
tusisite mungu yu katikati yetu(...…)
( chorus )
makofi×32(chorus)