![Nalisema](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7A/9A/rBEeMVsw8hqAFGhBAADv4KIMzGk883.jpg)
Nalisema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Nalisema - KMK MAKUBURI
...
Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana,
Nawe,nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi zangu(*2)
Heri aliyesamehewa dhambi na kusitiliwa makosa yake, heri Bwana asiyemuhesabia upotovu na ambaye rohoni mwake hamna hila.
Iwe sitara yangu,utanipa bila mateso, utanizungusha nyimbo za wokovu
Nalikujulisha dhambi yangu, wala sikuficha upotuvu wangu