![Silaha Ya Mapambano](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6D/A9/rBEeMVqndvCAdDMPAACtP6MlGTc496.jpg)
Silaha Ya Mapambano Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Silaha Ya Mapambano - KMK MAKUBURI
...
silaha ya mapambano - kwaya ya my.kizito
neno lake bwana mungu eeeh
silaha ya mapambano ee eeh eeeh mapambano silaha ya mapambano dhidi ya ibilisi hayo ndiyo mapambano dhidi ya uovu×2
yesu ameshinda yesu ameshinda mtawala×2
neno lake bwana Mungu eeeh linashinda mapambano ee eeeh eeeh mapambano linashinda mapambano dhidi ya ibilisi hayo ndiyo mapambano dhidi ya uovu×2
yesu ameshinda yesu ameshinda mtawala×2
neno lake bwana Mungu eeeeh linashinda mbinu zote ee eeh eeeh mbinu zote linashinda mbinu zote dhidi ya ibilisi hayo ndiyo mapambano dhidi ya uovu×2
yesu ameshinda yesu ameshinda mtawala×2
neno lake bwana Mungu eeeh linapinga mbinu zote ee eeh eeeh mbinu zote linapinga mbinu zote dhidi ya ibilisi hayo ndiyo mapambano dhidi ya uovu×2
yesu ameshinda yesu ameshinda mtawala×2