![Chozi La Damu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6D/A9/rBEeMVqndvCAdDMPAACtP6MlGTc496.jpg)
Chozi La Damu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Chozi La Damu - KMK MAKUBURI
...
watoto wa nyumba zote njooni tuungane, tuwaliilie wazaz chozi la damu, tupaze saut zetu kwa majonz na kwikwi, kwa wachache wenye huruma watatusikia, haki ya malezi bora tumenyang'anywa, urithi wa maadili tumefutiwa,
oh dunia dunia mbona unatutesa, oh dunia dunia tumkukosea nini
oh dunia dunia mbona hupend watoto oh dunia dunia sikia kilio chetu...
oh baba zetu namaa zetu tunajua mnajipenda, ingawaje tunatamani na sisi mtufikirie, mavaz mnayovaa leo yanatufundisha nini, mnafikiria nini kwa kizaz mnachokilea, msije mkashangaa dunia siku zinazokuja, viwanda vyote vya nguo vitakapofungwa.
oh kwenye chaakula cha usiku siku zote baba hayupo
oh tukirud toka shulen madaftar hamkagui eti kwa kuwa mmechoka burudani hamka