![Tazama Mateso](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7A/9A/rBEeMVsw8hqAFGhBAADv4KIMzGk883.jpg)
Tazama Mateso Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Tazama Mateso - Kwaya Ya Mt.Kizito
...
Tazama mateso nitaswayo na wanaonichukia
Wewe Bwana unifadhili,tazama mateso niteswayo na wanaonichukia
Wewe Bwana unifadhili,wewe unijuae
katika malango ya mauti ili nizisimulie sifa zako zote
Katika malango .ya binti sayuni nitafurahia wokovu wako