![Ntakukumbuka ft. Kala Jeremiah](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/14/fa58a19f5f894e8295123d7262b63c19_464_464.jpg)
Ntakukumbuka ft. Kala Jeremiah Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Ntakukumbuka ft. Kala Jeremiah - Bright (TZ)
...
Ntakukumbuka eh,kama nikitoka ntakukumbuka eh(*4)
Bora nimekuona leo brother nakukubali kwanza me shabiki yako
Tena nakupa vyeo ,wasanii wote hakuna mkali zaidi yako
Mziki mgumu brother nataka kutoka,wasanii wengi me wameshanitosa,vyote nimejaribu me hata kucheza soka mshika mawili vyote vimeniponyoka
Naskia mziki ndumba na mzikina pesa, mziki bila keki wala haujutoi napenda mziki sa mbona mziki unantesa na hustle sana mbona sitoboiii
Brother me najua mkuimba,nishamfata mpaka simba ah,country pia nimetimba, konde gang nimeyumba aah
Nikipiga simu yako inakataa aah(inakata)
Manager babu tale ananikataa aah(ananikataa)
Ntakukumbuka eh,kama nikitoka ntakukumbuka eh(*4)
Kabla ya yote ebu kwanza nipe mistari,maana hua mnabonga sana alafu kwa vipaji chali
Mnataka kuimba ili mng'oe madem wa kali,na mkiambiwa ukweli mnang'aka mnakua wakali
Mziki sio kiporo cha maharage na wali,kwamba hata usiku wa manane ukiamka unajivinjari
Mziki ni uwekezaji bwa mdogo vp una mali??
Na usiulize kuhusu uchawi bwa mdogo kwanza unasali??
Nakuonea huruma dogo,kwanza una gari??
Maana bila gari hata machawa hawatajari,kama huna zari hata ukiwa almasi bado utafeli,ukipata weka akiba kama kaka wa chitohori
Fuga ndevu kata uno kama farry,ili ukipita madem wapige tunakukubali
Uza kiwanja kisha nunua viewers, panga nyumba kisha wadanganye umeinunua
Nani atajua!!,labda siju utakayo ugua,kuhusu majina ya wanyama jiite digidigi fanya kiki na gigi mjirekodi mkijigi jigi,alafu zivujishe,alafu shituka zime leacky
Ntakukumbuka eh kama nikitoka ntakukumbuka eh(*4)