![Tamu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/A6/B0/rBEezlylzt2AbOM_AAB0kcrC6eo829.jpg)
Tamu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Tamu - Bright (TZ)
...
She is coconut amenifunga kwenye Kona/
Aaaa kichuya Kona/
Kwa penzi lake me napona/
Walipochana nitashoda/
Spring manati do/
Zako mbwembe na mapigo/
Karateka mara juna napenda ukiinama oo mama/
Tena kigoli wakidigo/
Panga boi aminado/
Namba saba ka Ronaldo/
Ukae nikisimama ooh mama/
Chorus
Anita mama Anita nikitaka tu ananipa/
Anita mama Anita haniishi hamu akinipa/
Darling kimoko,kimo kimomooo x3
Yani papaaa we kisiki nimekwama/ umenishika na kijeans kimebana/
Tatata za kichina napigana/
Mtoto mtamu kavukavu na banana/
Mwendo wa pasi kati tucheze/