![Aibu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M05/DA/B2/rBEeM1ziaLWAcstfAAEEb7FY2Bo152.jpg)
Aibu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Aibu - Bright (TZ)
...
imani yaaangu, nilidhani umekuja na Hof ya tatizo langu, makovu yaaangu yapone kabisaaa ila ndo peke yangu na nipo kwenye kiza sioni kanisa tumaini laaangu umelikatishaaa mi mnyongeee nimeikosa haki nabaki nasononaaa mazongeeee penzi umelidhihaki yarabi anakuonaa amini sku huwaga hazifanani kiza kinene nuru haionekani kufa kupona ataniponya nani siaminiiiiiix2
Aaaaaa aibu yangu nitaificha wapi
eeeeee kasora Bado jibu sipati,
Aaaaaa aibu yangu nitaificha wapi
eeeeee kasoro yanguu Bado jibu sipati
eeeeee ooooo eeeeee
macho yalinidanganya kuona kweli kumbe sioo uongo nao nikubali kuyarubuni masikiooo sura yako ndotoni eee
picha inajirudiaaa mfa maji baarini uooo
Sina pakushikiliaa umenieka mtu Kati kwangu msoto penzi la mwendo Kasi juma nyoso kweli ya mungu mengi haya mapito nimekosa leo ntapata kesho
Amini siku huwaga hazifanani
kiza kinene nuru haionekani
kufa kupona ataniponya nani
siaminiiiiiix2
Aaaaaa aibu yangu nitaificha wapi
eeeeee kasoro yangu Bado jibu sipati
Aaaaaa aibu yangu nitaificha wapi
eeeeee kasoro yangu Bado jibu sipati
eeeeee ooooo eeee
aaaaaa osam!!!