![Nibariki](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/19/b98f703453e14f5a8f60800afb160295_464_464.jpg)
Nibariki Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Nibariki - Bright (TZ)
...
Nimeuanza mwaka baba uniongozee
Yale ya mwaka jana mwaka huu yasitokee
Nimejipanga upya naomba unipokee
Na kwenye vita yangu naomba unitetee
Unipe baraka zako baba nisibaki nyuma
Na mimi unibariki unitendee wema
Nipite kwenye njia yako baba ili niwe salama
Binadamu wasaliti wala hawana jema
Wanaoniombea mabaya kwa jina lako washindwee
Wachawina wenye roho mbaya mungu baba nirinde
Mi simuogopi shetani acha tu aniwindee
Sibabaishwi na njama zake
Upo nami nikinge
Nibariki nibariki
Baba nibariki
Nibariki
Maadui ni wengi baba nipe uvumilivu
Changamoto ni nyingi naomba unipe nguvu
Watu wangu wakaribu wanafiki hawataki nile mbivu
Ukileta neema kwangu baba wao wanaona wivu
Nitajitahidi kutoa sadaka na ibada
Baba niahidi magumu yangu wendo msaada
Mwana huu unipe na mimi
Mwaka huu nianguke chini
Mwaka huu niwashangaze na mimi
Mwaka huu nataka nichange gia angani
Wanaoniombea mabaya kwa jina lako washindwee
Wachawina wenye roho mbaya mungu baba nirinde
Mi simuogopi shetani acha tu aniwindee
Sibabaishwi na njama zake
Upo nami nikinge
Nibariki nibariki
Baba nibariki
Nibariki