![Wa Moto ft. Mr Blue](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/01/bc0d9987d76243ffb18796584992dc63_464_464.jpg)
Wa Moto ft. Mr Blue Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Wa Moto ft. Mr Blue - Bright (TZ)
...
mwanzo tunakutana tulikutana bar nilikuona ukuniona nilikuona ulivyo jaa alaaa balaa kika anza kizazaa mara tamaa nikawazaa na kuzazaa ndo maana nkakufata nichukue jina unipe namba pia nikutoee dinner mtoto amina unipe mautundu ya menina nikupe penzi na vina unajua mali sina, (wamoto) kuenye ndoto nakuota, nakuota tuna moka pembeni John walker mtoto ndani ya shella me nasuti na moka baada ofa gara gara kuwenye sofa hakuna kuogopa, hakuna kuondoka, hakuna kuzorota, ndoto za ucku leo naziotaa mchana, umenielew msichana au nirudie pakuchana