![Jela](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0A/28/34/rBEeqF1EOU6AE1EHAAB9bYnVKjo405.jpg)
Jela Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Walisema nyota njema asubuhi
Naamka kwenda kazini Kibaruani yeah, yeah...
Napiga magoti chini Namuomba Mungu
Anipe changu cha halali yeah...mhh
Sijui nitafika vipi? Sijui nitapata kipi?
Mola ndo mgawa ridhiki na tupo wengi sijui yangu ni ipi?
Hivi kweli unaniona Mbona natafuta bado sijaona
Ncha ya ugonjwa sijapona Imani ninayo bila dawa sitopona
Au niende jela,
mbona sielewi Ninaunga tela
Nawaaga masela, maisha yamepanda bei
Mi naunga tela
Au niende jela, mbona sielewi
Ninaunga tela
Nawaaga masela, maisha yamepanda bei
Mi naunga tela
Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya
Ah, naona kama movie picha haliishi
Starring kafa mbona hatari
Kwangu ni makuzi Miaka inakwenda na midevu imenijaa hatari
Sina ugunduzi na gaagaa na upwa leo Inanikataa bahari
Yeah....ooooh
Mguu shingo, mgua roho
Usaha umekaba kwenye koo
Juzi nimekula kiporo
Leo nimeshinda ngomadroo
Mgua shingo, mguuroho
Usaha umekaba naommbapo
Panya katafuna godoro
Pesa imekula chochoro
Hivi kweli unaniona
Mbona natafuta bado sijaona
Ncha ya ugonjwa sijapona
Imani ninayo bila dawa sitopona
Au niende jela, mbona sielewi
Ninaunga tela
Nawaaga masela, maisha yamepanda bei
Mi naunga tela
Au niende jela, mbona sielewi
Ninaunga tela
Nawaaga masela, maisha yamepanda bei
Mi naunga tela
Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya
Au nikale kwa foleni
Nizunguke yaani kama treni
(Nikirudi nina mahela)
Tumbo lilimponza tako jela
Manze tumbo lilimponza tako jela
Bear, I see you bro
(lets take over the game)
--- www.LRCgenerator.com ---