![Me & U](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/06/1f5cb4ffbbbe42d69074de2b5dacee0e_464_464.jpg)
Me & U Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Me & U - Bright (TZ)
...
ntakupenda leo kesho
mpenzi waangu
baridi jashoo
uwe waangu.
kwako nimesahau mateso
kichuna chaangu
kwangu wendo spesho
roho yaangu.
acha nitangaze duniaa
kwamba naapenda naapendwa
amenishika pabayaa aah
oooh
namoyo nimemgawia
jamani nimependaa napendwa
lolote atakalo saawaah
mi ndo mwamvuli wake
kwenye jua
natiba yakee
akiuguaa
pumzi yake akipumua
oo uuuuh
ananikinga kwenye mvua
kwenye bahari nimashua
kwenye mti wake
nimetuaa
me and youuu
heeeh
and youuu
tupendane
me and you
tupendane
baby
and you
tupendane