![Sina](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/01/63/rBEezlph3TmAZDXOAADeDCCQlxI546.jpg)
Sina Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Sina - Bright (TZ)
...
ukweli haupingiki,
ujanja mwingi mbele Giza ee
Mwenye nacho hupewa haki
lla sipaswi kulipiza eee
mwenda pole haungiki
hawezi umia akijikwaa ee
Hasira hujenga chuki
Me mjinga sijakataa we
Amini sikufichi
Mapenzi poli lenye miba eee
maswali ulikosa kipi
Kama mapenzi nilipitiliza eee
Nalala mwenzangu
Naamka Nilizani majivu
Moto Umeniunguzaa ee
fukara thamani umenishusha
Umenipola magongo kiwete
Nimeanguza eee!! ×3
Sina wivu
Roho inauma eee
upele upo mgongoni
Natamani kujikunaa eee.
Sina wivu
Roho inauma eee
upele upo mgongoni
Natamani kujikunaa eee
Ivi ni nini siri ya penzi
kupetipeti au kuchunaa
Waweza penda
kumbe hupendwi
Haya mapenzi hayana
Hurumaa eee
Kilio cha mtu mzima jeraha
maumivu ndani kwa ndani
Nikisema nijikazeeee buree
Nafuuu haipatikaniii
Nilizani tabia nguo
kumbe tabia sio nguo
umenifanya nidhalilike eee