![Nakuja Dar ft. Stamina](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/11/c4abdaafdfbf4cc79ddc10f7607de791.jpg)
Nakuja Dar ft. Stamina Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nakuja Dar ft. Stamina - Bright (TZ)
...
hy brother.....
hivi unanisikia me nataka tuongee
nisikiLize kwanzavip hali ya familia
nenda kwanz tuongee..
tunashukulu mungu tunaamka
maisha ni magumu kak ..
shule nimefeli nimeanguka naanyumba inauzwa napokaa
maisha yangu doro ... nakazarule napiga debe ifakar..
siku nyingine ngoma droo
sifungi guu najitaman nitapata tu
nasikia unanyumba gar.. kaka
mziki umekutoa siku unatamba
kila kona watu wote wanakujua
mdogo sielew yote yameshindikan
mvona msaada sipew bora ange kuepo mama...
nakuja dar naomba unipo kee kak nitafanya kaz yoyote ×2