![Umebadilika](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/27/a4bc0d4cb7e24382a0d4c6b7cc61368c_464_464.jpg)
Umebadilika Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Umebadilika - Bright (TZ)
...
Bora nilale nje kuliko humu ndani Mimi sitoweza
maelewano hakuna ukinikosea wataka kubembelezwa
hivi humu ndani mume Nani ,ukinikosea huniombi samahani
hivi kwangu wewe n make gani,,KAZI kiburi Tu na kisirani
Kwanza nimechoka Sana na zako kelele na lala bwana
maana unaongea Sana kila siku huishi lawama
ina maana nayo ongea hayana maana,,hayo ndio matatizo yako mama au mwenzangu umeshaapata kabwana uenda lover ndio kanakuchanganya
umebadilika sanaaa,tofauti na nyumaaa ×2
Hivi wewe mwanaume Una nini ,Leo umeamka na nini maneno maneno ya nini au unataka visa na mimi ,,,
na nitaondoka kelele kelele nachoka usinione me lofa nakuangalia tu
Mimi sipigi kelele na kurekebisha uelewe kosa lako wewe ya paswa unisikilize
ni mwisho wa Kula vibandani kama hela melllll siachi hapa nyumbani hivi kwani we ni mke gani usiojua kunitunza mme Nani
Mbona yako me siyaongei na yasikia huko
unaona haunikosei badili mwenendo wako
siku ngapi haujalala nyumbani unasingizia kazini waniacha na watoto nyumbani kumbe unalala jiranii anhaa
Ukweli najua mimi wala sio wewe ,hayo mambo kakwambia Nani si yasikize
Kumbuka tuliapa Kwa manani utakuwa wangu Tu na mambo unayofanya hayafanani nakuambia mume wanguuu
maumivu ya penzi hayawezi kupoa kama mwiba unavyokuchoma siwezi kukudanganya wee ndio mboni yangu unayofanya jicho kuona
Na nitaondoka kelele kelele nachoka usinione me lofa nakuvumilia tu
umebadilika sanaaa tofauti na nyumaaa ×2
Me naondoka(usiondoke) nimechoka (usichoke) me naondokaa(usiondoke) ewe vumilia sitarudia me naondokaa (usiondoke) nimechoka(usichoke)ewe vumilia