
Ni Kwa Muda Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2025
Lyrics
Ni Kwa Muda - Vanillah
...
mmh mmmh mmmh
najua mi sio rangi uipendayo
ila naweza nikapendezesha mchoro wako
na sina sura nzuri ya kuringia
ila naweza kuilinda na kuitunza heshima yako
we juhudi. za mambo unayo fanya baby
havi unalipwa na nani
au tuseme pengine umeamua maybe kumsaidia shetani
nilifurahi kuona umezaliwa na macho ila naumia kuona uoni
nikajitolea hata kuumia kwa ajili yako
hukunipa pole pale sikomi
asanteee asante ya pundaa kweli ni mateke
niacheee mi niteseke niuvuwe huuu upweke
binadamu tuliumbwa na madhaifu ndo maana..........
hongera kwa maumivu unayo nipa mimi
japo unajifanya huoni
ila ni kwa muda 2
pamoja na maumivu yote nayoyapitia kwenye mapenzi
ni kwa muda 2
haya hayatadumu kwangu najua kwamba
nikwa muda 2
mateso unayo nipa mi nakonda kisa mapenzi
ni kwa muda 2
sikuumbwa niwe ivi mi nizeeshwe na mapenzi
ni kwa muda 2
(kwa muda)×4 yeeeee
ni kwa muda 2
we huna huruma hata kwa mama aliye nizaa
anapata pressure kuona umeniyumbisha kabisaa
hata picha zangu za nyuma
naona kama zinanisomea
nilivyo kua nimenona
Leo nimebaki mifupaa
nasiwezi kukulaani
japo amani angu na furaha umevichukua
nizaidii ya mates
hata andui yangu siwezi kum
uombea yalonikuta
mapenzi shoti ya umeme
umesahau tulivyo mbembembe
kwanini umenidharau baby
hata siamini umenifanya nilie
chorus