
Silali
- Genre:Pop
- Year of Release:2018
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Silali - Rich Mavoko
...
Mmm aaah×2 kwengine sitamani ile ahadi ulonipa moyoni nahisi ni shetani alie badili mawazo kichwani mmmh ona mapenzi ni mfano wa dimbwi nimezama ni vigumu kutoka mmmh ona nakesha ni kama bundi nikilala kuna kitu nakiota umenipa upofu ningali hai mboni zangu unaniumiza ukanipa donda ndugu moyoni mwangu maumivu yaliopitiliza×2
mbona silali kisa mawazo mwenzako sili aah
ona watoto nyumbani wanauliza wapi mommy×2
Ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo lakini siwezi nahisi kama ndo nitazidisha mawazo na maumivu ya mapenzi
ona
mbona silali kisa mawazo mwenzako sili aah
ona watoto nyumbani wanauliza wapi mommy×2
ooooooooh oh oh e o ooooooooh oh oh e o oooooh
(Rudi nyumbani ooooooooh oh oh e o Rudi nyumbani ooooooooh oh oh e o ooooooh tuishi wawili.ooooooooh oh oh e o tujenge famili×2)mizizi ya mapenzi moyoni umekata kwa kinywa chako Huwezi kujua machoni kua nimemisi pendo lako
ona macho yangu yalivonyauka kwakutazama penzi linalozamia mmmmmh
see lyrics >>Similar Songs
More from Rich Mavoko
Listen to Rich Mavoko Silali MP3 song. Silali song from album Silali is released in 2018. The duration of song is 00:04:32. The song is sung by Rich Mavoko.
Related Tags: Silali, Silali song, Silali MP3 song, Silali MP3, download Silali song, Silali song, Silali Silali song, Silali song by Rich Mavoko, Silali song download, download Silali MP3 song
Comments (74)
New Comments(74)
178241872
mambo
much love Mavoko really like your songs from Kenya
Omar Jumajdkbp
[0x1f627]
Precious Johnson 3flf5
kaujumbe kanagusa
Pascal Masamakeri
Asante
angelfodrb
Nice
George joy0q
Vp
mireypxjhe
kisa mawazo mwenzako siri
Latifalg6mp
hello
Ilumban42y7
Mwamba richi nakubali sana
MUSSA LUCASia9z4
2022 bado kali G.O.A.T [0x1f63b][0x1f63f]
poa