For Me ft. Barnaba Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
For Me ft. Barnaba - Vanillah
...
Intro..
Ntakua Etugru ukiwa Halima,
Si niwe Ali ukiwa Amina,
Kama mapenzi maji ntachimba visima,
Nisikukose nkaumia,
Ntakua mahututi ukiwa mbali nami,
Naomba milele ubaki na mimi honey,
Ukiwaga Uri ntakua Sharuh Khan,
Zinanitesa hisia ..
Tusiachane baby yooh,
Mageti ya mbinguni tuyafungue,
Usionekane mpenzi ooh,
Nikufiche ndani wasikuchukue,
Em nitazame mwenzio ooh,
Na hayo macho ya Nuru ,
Na uzuri wako wa video,
Mimi niseme nn tena...
. . .