Never Mind ft. Roma Mkatoliki Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Never Mind ft. Roma Mkatoliki - Vanillah
...
watakubania michongo.Kama huna pesa watakubagua wenzako wee Kama huna pesa hata bahati haiji kwako we Kama huna pesa,utaachwa na baby wako na ndio utajua kuwa hii Dunia huwa haiko fea
But never mind×2 yako njiani mazuri mengi
Utatafuta kazi umekosa, unarudi umechoka wengine wako home michongo inawafata but never mind×2 yako njiani mazuri mengi wanao yaanga Dunia ni wale wanaokupenda wanakusaidi
Unawazika unalia kila ikija njaa unawamiss unaumia..oooohh Kuna nyakati pia unahisi inakupanda kichwani Dunia na Kuna maneno pia unaishi bila kazi wew ndoo unaetuibia iiiihiiii ilimladi tu uwe na stress hawaoni shida kukupa kesi uwaze kujitoa
rohoooo
roohooo
roooohooo
rooohoooo
rooohooo