Shika ft. Baddest 47 Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Shika ft. Baddest 47 - Vanillah
...
Pale nlipomuona moyo ulibabaika
Ye wa bongo dar sisi watanganyika
My toto toto subiri kidogo nataka kunena mi mwenzakoo
Nazawadi yako nakupa chukua
Shika moyo shikamoo
Acha kuvunga vunga mwenzako nakupa moyo
Shikamoyo
Acha kuringa mchumba anakupa moyo
Shika moyo
Acha kuvimba vimba we mtoto nakupa moyoo
Shika
Shika moyo moyo moyo
Shikamo shika moyo ooh baby
Ooh baby ooh baby
Yooh eeh eh bwaana shika moyo shika mtima
Chanel inayumba shika shika antena
Shika toyo kuja tena
Gari yako nishaagiza ipo kwa contena
Eeh serious
Moyo umekudondokea serious
Eeh serious
Hakuna wakucompare serious
Uko na kitu flan amazing
Saa sita hapo kifuani amazing
Shika shika hapa kifuani amazing
I like that you so fan amazing
Asa husisite shika hiyo husiogope shika hiyo
Husisite shika hiyo husiogope shika hiyo
Shika moyo shikamoo
Acha kuvunga vunga mwenzako nakupa moyo
Shikamoyo
Acha kuringa mchumba anakupa moyo
Shika moyo
Acha kuvimba vimba we mtoto nakupa moyoo
Oooh Shika
Shika moyo moyo moyo
Shikamo shika moyo ooh baby
Ooh baby ooh baby