Hakunaga ft. Ibraah Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Hakunaga ft. Ibraah - Vanillah
...
Intro
Mm, yeah, m-m
Uh-uh-uh-uh
Ooh, Spana, ah
Chinga, ebo (O Righty)
Verse
Mm, nimegundua mapenzi bila pesa
Kumbe raha (hakunaga)
Nimegundua maisha bila kutesa
Kumbe raha (hakunaga)
Binti hata ujitunze vizuri, ujipambe kwa uturi
Kama show huziwezi ndoa (hakunaga)
Hata uhitimu school na ufaulu vizuri
Bila mganga mzuri kazi (hakunaga)
Chorus
Eh, ba-we hakunaga, hakunaga
Kuishi raha vizuri (hakunaga)
Eh, ba-we hakunaga, hakunaga
Kuishi raha vizuri (hakunaga)
Verse
Mh, oha-ah-ah
Chinga again
Siku hizi mjini mapenzi pesa
Eti nikupende uje kunitesa
Hizo hakuna, hakuna (hakunaga)
Yeah, kwetu walevi wanaiheshimu pesa
Mambo ya ulevi uje ugongee kunesa
Hizo hakuna, hakuna (hakunaga)
Eh! Oya tafuta chako anayekujua mjini ni ndugu yako
Huku cha bure hakuna, hata cha kumung’unya
Oya michepuko wapo
Shida ukitafuta mpenzi wako wa peke yako hakuna, hakuna (hakunaga)
Chorus
Oya we hakunaga, hakunaga
Kuishi raha vizuri (hakunaga)
Hakunaga, hakunaga
Kuishi raha vizuri (hakunaga)
Outro
(Ukae na dada yako pisi ya ukweli)
(Usipate shemeji mjini hakunaga)
The Mix Killer