Unanisitiri (Acoustic) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Unanisitiri (Acoustic) - Vanillah
...
Umenipa madaraka niutawale mwili wako
Nje ya mapenzi niwe rafiki wa maisha yako ooh
Nishafanya hadi makosa nikajeruhi moyo wako
Nashukuru haukutoka upendo ulo ndani yako
Tulivyoanza mapenzi sikudhani
Tungefikia huku
Mi so wakushindwa kulala
Mpka unipige mabusu
Na kama siku nikikuacha basi ntaipata adhabuu
Na ashindwe shetani hasilete utengefu mana najua
Ikiwa kupata chumha cha kupanga ni ngumu
Sasa nitawezaje kupata moyo wakuishi ni dumuu
Mungu alijibu kunipa wewe
Unanisitiri
Unanipendaa na aah
Unanisitiri
Silipi chochote
Mi unanisitiri
Naishi bure ndani ya moyo wako
Unanisitiri
Madhaifu yangu umeyafanya sirii
Unanisitiriii aah mi unanisitiri
Kweli mola akipanga kukupa hakuna wakupangua
Ni neema kubwa kukipata kimvuli chini ya jua
Msione shavu ladondoka hapo mwanzo nilipunguaa
Chaguo la moyo uliponza mwili
Kumjali alienibaguaa
Nilitafuta muonekano mimi muonekano
Kumbe mapenzi yanadumu kwa watu wenye tabia mufanano
Niliishi na maumivu mie
Yasio na mufano
Ila nilipo kupata wewe yakafika kikomo
Kichwa kilichoka maswalii kutafakari
Ningeyawezaje mapenzii kwa hii hali
Mana ikiwa kupata chumba cha kupanga ni ngumu
Sasa nitawezaje kupata moyo wa kuishi ni dumuu
Mungu alijibu kunipa wewe
Unanisitirii
Unanipenda naa aah
Unanisitirii
Silipii chochote
Unanisitiri
Naishi bure ndani ya moyo wako
Unanisitiri
Madhaifu yangu umeyafanya sirii
Unanisitirii aaah mi unanisitiri
Unaa nisitiriii
Unaa nisitirii
Unaaa nisitirii
Una baby ooh niisitiri ooh