
Chizi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Chizi - Vanillah
...
naangaika
yananiangaisha mapenzi
naisi ujaridhika
na vile sina vijisent
naogopa yaisha
sababu unapendwa na wengi
Mapenzi vita naulivyo umbika
siku ukiniacha nitadedi
huwa naofya dhambi dhambi
nahisi nitaumiaga
kama ukiniacha bambi
siku nkijuaga
huwa naofia dhambi dhambi
nahisi nitaumiaga
kama ukiniacha bambi
ama nkigundua una mwengine
Nimechanganyikiwa aah
sijielewi mkiwa aah
mimi nmezidiwa
mapenzi yamenielemea x2
nimekuwa chizi
(chii) (chii)
chizi
(chii) (chii)
chizi wa mapenzi
(chii) (chii)
aaah
(chii) (chii)
munionbe
nmekuwaa chiizi
(chii) (chii)
chizi
(chii) (chii)
chizi wa mapenzi
eeh
muniombee
nimezidisha kunipenda
nimezidi midhan ya kupenda
hauna mambo ya kizaman
hulimbukeni ni mshamba wa kupenda
hiv akinitenda itakuwaje akinitenda
au ntaanda kamba ntajinyonga akienda
maana ata akienda sokon
namfatilia kwa nyuma
nimuone kasimama na nan
ata akisalimiwa ma roho inaniuma x2
Nimechanganyikiwa aah
sijielewi mkiwa aah
mimi nmezidiwa aah
mapenzi yamenielemea x2
nimekuwa chizi
(chii) (chii)
chizi
(chii) (chii)
chizi wa mapenzi
(chii) (chii)
aaah
(chii) (chii)
munionbe
nmekuwaa chiizi
(chii) (chii)
chizi
(chii) (chii)
chizi wa mapenzi
eeh
muniombee