Utachuma Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Utachuma - Vanillah
...
Yooop... yebaba
Chuma moyo wangu, kaa naoo,
usichume mota wangu, ukahama nao,
kwa tunavyo peana mapenzi, tutachuma toto,
penzi, tulihalalishe kondoa na mungu atatupa pepo.
upendo ni sawa na Moto hata bila macho oo,
unaweza kujua wazi kama ukaribu yako,
kwa kila kitu siwezi nikawa poa kwakoo,
tumeumbwa na madoa madoa,
Kuna muda nakuboa kuboa, tuvumilianee..
kwenye shamba langu utachuma upendo upendo,
utachuma upendo pendo ×3 (ohh baby) upendo upendo,
utachuma upendo upendo ×3
eh ee.. Mimi ni mti wako, we wangu mzizi,
unanihifadhia maji nabaridi,
napenda utashi wako tajuhudi,
zinazonifanya Mimi niwahi kurudi,
usipande wivu, utavuna maumivu,
yasiyo na tiba zaidi ya uvunjifu.
kwa kila kitu siwezi nikawa poa kwakoo,
tumeumbwa na madoa madoa,
Kuna muda nakuboa kuboa, tuvumilianee..
kwenye shamba langu utachuma upendo upendo,
utachuma upendo upendo ×3 (ohh baby) upendo upendo, (ohh baby)
utachuma upendo upendo ×3
Asa shugua shugua, ah ah.. shugua shugua,
(shughulika na mi)
shugua shugua ah ah.. (shuka mpaka chini)
awee shugua shugua ah ah.. shugua shugua
baby oh shugua shugua (shughulika na mie)
oh ooo.. ayeee