Unanisitiri (Remix) ft. Kayumba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Unanisitiri (Remix) ft. Kayumba - Vanillah
...
Kama vya dunia vingali vyangu
Nsingemiliki peke yangu
Ningekupa ningekupagaa na
Kama ningerithi vya baba angu
Nsingemiliki peke yangu
Ningekupaga ningekupa