- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2025
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Chozi - Ibraah
...
Chinga chinga naomba tena mapenzi, ( yeeah)
nilijitoa nikawekeza nguvu na akili kumbe sikujua nilikuwa najisumbua tu.
akili ikawaza ndoa hata kama alikuwa bize sikuchoka kumsubri ningejua moyo ungekoma ningejua mwenzenu leo
Mwana kulifind nimelipata kumbe hata penzi letu amefanya kichaka si anajificha tu kwa muda hataki maisha nami anazuga,
Kumbe huko nje ananiona mi takataka
najipendekeza hakunitaka tunaishi kwa mipaka najutia muda mi nimepoteza muda kumbe alikuwa anachati na wengine,
muda anawapa wengine naona kampata mwingine na mi nina moyo sio mashine uenda sio riziki pengine niache nikatafute pengine naye atafute mwingine japo alifanya nijinyime ( mpenzi) nimemfumania fumania simu ya mpenzi wangu weeee! ndio chanzo cha chozi langu, nimeifumania fumania simu ya mwenza wangu ndo chanzo cha chozi langu. ndo chanzo cha chozi langu weeehh!
Chozi nikifuta kushoto linadondoka kulia maumivu kila nikifikiria mabaya aliyonifanyia naumia (yeeeh)
hata kusamehe naona utoto maana alinikusudia naogopa yasije jirudia apite kushoto me wa kulia….
Similar Songs
Listen to Ibraah Chozi MP3 song. Chozi song from album Love Season is released in 2025. The duration of song is 00:03:44. The song is sung by Ibraah.
Related Tags: Chozi, Chozi song, Chozi MP3 song, Chozi MP3, download Chozi song, Chozi song, Love Season Chozi song, Chozi song by Ibraah, Chozi song download, download Chozi MP3 song
Comments (27)
New Comments(27)
Ozuzu john kennedy
Lacq Vee
kaliiiii
mgiant644 @gmail.com
chinga respect 4 u[0x1f627][0x1f627]
enkyfrank_
Huu moto hauzimiki kirahisi
Winnie Timothy
ibraaa weweeeeee[0x1f641][0x1f641][0x1f641]
muhtown
oyah oyah weeeeh [0x1f627][0x1f630]
Meja France Thomass
Daah chinga nakukubal sana kaka
Steven_j360
big up bro
PAUL `MASIA
noma noma sanaa
mamy zayhemeedy
[0x1f653][0x1f653][0x1f60e][0x1f60e]
niker9
Tanzania umeuwa kaka
Kelvin Ngailo184284349
chingaa
this lovely