Sijazoea Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Sijazoea - Vanillah
...
Mi kukushika mkono uligoma kabisaa,
kumbe wenzagu pembeni hadi kiuno wanakushila..
Nlipo kukiss mdomon kwa kinya ulitapika!
mapenzi uliofanya pembeni hadi mkojo wakakulisha...
Hapo ndo nikaamini kwako upendo hauna maana..
Nae kupenda sote twende mbele mie nyuma unanirudishaa!
Najinyima nampa fedha adai mi mshamba ananichunaa!
kweli unapotenda mema mala nyingi faida hakuna..
Nliponyonzwa na imani yangu yakutaka nife kama shujaa..
Nikiamini bora nishibe sumu kuliko kufa na njaa
sikujali aliofanya mimi nikiamini atabadilikaa
Hatimae amekua sababu kwangu furaha imetowekaa..
Chapaa ndio unapenda pabaya wee unapokwenda kua makini na hao wenye usafiri ni hatari watakugongaa...
Eeeeh
Haya mapenzi jamani ,,mi sijazoweya mapenzi ya hivyoo
Mi sjazoeweya mapenzi hivoo! x 3