- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Sitosema - Ibraah
...
VERSE 1
Uuuh!! lelelee!! no no no no Aaah Chinga Aaah!!
Mmmh! Eeeh! Kalunde, takatuka tuhene mwanda wee!!(Aaah Mwanda wee) Sekunde maana muda ndo umesonga wee(Aaah songa wee)
Sema One day, Japo umeniona mushamba wee(Aaah mushamba wee)
Muda, sekunde Mungu baba ndo amepanga wee(Aaah panga wee)
Huna huruma wee Tena ulichiti na mise nilivokuwaga nilikuwa bize(Aaah mama we huna moyo wee Mmmh! mmmh!)
Nilivokufuma we ilinibidi tu kwa upole nikuulize, Niliogopa kukupiga nisikuumize(Aaah mama we wa upole wee eeeh)
Wala hazikuniingiaga husda kukubeza eti mimi kukunyanyasa
Nilikutunza Wala sikuwa tasa maana mimba yangu ulitoa
Maskini moyo wangu ushautakasa
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Ibraah Sitosema MP3 song. Sitosema song from album The King of New School is released in 2022. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by Ibraah.
Related Tags: Sitosema, Sitosema song, Sitosema MP3 song, Sitosema MP3, download Sitosema song, Sitosema song, The King of New School Sitosema song, Sitosema song by Ibraah, Sitosema song download, download Sitosema MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
0695224323
0695224323
brother mungu akulinde kwa kazi yako brother na akusimamie sana make hauna mabaya na mtu brother (mungu)&(kwanza)&(mengine)&(badae)!!!!
_Iamvictor.
chinga once again
crown 123
konde gang naomba mtupigie moja ya krismas 3024-3025
Kevin jr6a3ag
CHINGAAH
178480919
the King is here let's go enjoy a good melody
mungu akujarie brother ❤️