![Godoro,Jiko Na Sabufa](https://source.boomplaymusic.com/group2/M15/8C/16/rBEeqF45rTCAEm7MAAC8-d1u9Vo535.jpg)
Godoro,Jiko Na Sabufa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Godoro,Jiko Na Sabufa - Moni Centrozone
...
Jiko na sabufaa! Aah
jiko na sabufaa, godoro jiko sabufaa,
majengo sokoni music! (Tongwe records)
(Chorus..)
Nilianza na godoroo jiko na sabufaa, jiko na sabufaa
Nilianza na godoroo jiko na sabufaa, jiko na sabufaa
Nilianza na godoroo jiko na sabufaa, jiko na sabufaa
Nilianza na godoroo jiko na sabufaa, jiko na sabufaa.
Nilianza na godoroo jiko na sabufaa tena niliponunua godoro nilisahau mashuka,
Nikiamini kuwa tomorrow ama kesho kutwaa! mambo yatakuwa mororo na itakuwa super!
Nacheki kwenye ukutaa kuna nyufaa! Ila utakutaa picha ya Tupac!
Kodi miezi mitatu kila mwezi shilling hamsini,
Sikuwa na ndoo niliazima kwa jirani!
Video queen! Cha kwanza ni extension na charger, TV hanasa kwa kuanza haina haja!
Maji ndoo moja ukioga maliza na haja,
Chini nimetupa nguo na pea zangu za raba!
Nishaaga Dom kuwa sirudi kwa mazeli, (kwa mazeli)!
Mbwana Samatta kanambia haina kufeli! haina kufeli!)
Aah ikapita wiki nikaona joto sio fashion, nikajichanga mwana nikadaka na feni!
Ilaa!
Nilianza na godoroo jiko na sabufaa, Jiko na sabufaa!
Nilianza na godoroo jiko na sabufaa, Jiko na sabufaa!
Nilianza na godoroo jiko na sabufaa, jiko na sabufaa!
Nilianza na godoroo jiko na sabufaa, jiko na sabufaa!
Aah! Kinatoka cha mtume baby akija kusabahi, siku zote ni mwendo wa nguna na mboga ya mayai!
Kikibaki kiporo malume sing’oi meno, kila kukicha malume nasikiliza demo!
Nikienda interview nje bonge la komeo,
Kipindi nahustle nitoe bonge la video,
Vishungi vya sigara na majivu kwenye chupa!
Kitaa changu tawala hapo kwa nyuma kuna pushaa!
Njia moja ya maisha nikiipata naiduplicate, mnaopenda kuharakisha naomba msicomplicate!
Ipo siku utaishi mbezi nje bonge ya fensi!
Wengi akili ya kupanga wameipata wakiwa madenti,
Aah ndo walikoanzia wana wanaokutana sheli,
mchana pasi ndefu usiku mwendo wa parcel, mkono unacount kila kitu hadi cha ten!
Nikaongeza kikombe sufuria na frying pan!
Ghetto!