![Chuchu Dede ft.Nikki Wa Pili](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/FE/CD/rBEeMVxqXHiAJF1hAADPYMD4T40663.jpg)
Chuchu Dede ft.Nikki Wa Pili Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Chuchu Dede ft.Nikki Wa Pili - Moni Centrozone
...
Swichiiiii
Ramon Tambwe
Majengo sokoni music
Daraja mbili weeeeee
Aaaaa amin
Weee mtoto kiluxury luxury
Umedamshi na sneaker mwendo wa kunata nata
V.I.P kwako nasi tushawaka wakaaa
naseti mipango tukabanwa na mlango
Kukuona wewe hizo chuchu zako dede acha tukodolee
Chuchu zako dede acha tukodolee
Chuchu zako dede acha tukodolee
Chuchu zako dede acha tukodolee
Ahaaaa
Mchuchu mama mi kidume nipe kopa ulambe dume
Jinga mimi nitume tume sina mimi mfumo dume mradi mbonga uchume chume
Kama drama lete tuuu mamaumivu ndo kwetu
Kama stress ndo zetu Daraja mbili sinoniii natoka mi nickson banana hii this for you nachuchu hizo is for me
Nachuchumaaa navisha pete namshumaa unakuwa tete na haaa na haaa
Weeee mtoto kiluxury luxury
Umedamshi na sneaker mwendo wa kunata nata
V.I.P kwako nasi tushawaka wakaaa
tunaseti mipango tukabanwa na mlango
Kukuona wewe hizo chuchu zako dede acha tukodolee
Chuchu zako dede acha tukodolee
Chuchu zako dede acha tukodolee
Chuchu zako dede acha tukodolee
One more time weeee
Weee naeza kufanya formatilio oooh
Subiri kwanza nimume sikioo wowooo
Nimfute chozi aache kilio wowooo
Wanga wapige chabo waskie milio wowooo
Akitaka kushfaster tungi kiafsaaa
Watoto wa mjini kachaaaa
Wameponzwa na Life style
Madon kuhonga wanaaminivo mkwanja wanakataaa
Wengine wanamtafuta usiku mmoja kumpakataaa
Wee another ryme it a bartender tuko cover ukiwa bar spender
Siri zangu mi naweeee ukinikacha ndio basi tena
Hey sina methali na nahau
Nnakata mkwanja usilete dharau
Weee mtoto kiluxury luxury
Umedamshi na sneaker mwendo wa kunata nata
V.I.P kwako nasi tushawaka wakaaa
naseti mipango tukabanwa na mlango
Kukuona wewe hizo chuchu zako dede acha tukodolee
Chuchu zako dede acha tukodolee
Chuchu zako dede acha tukodolee
Chuchu zako dede acha tukodolee
Nacentro zone na centrozone
nacentro zone east zoo
Daraja mbili weeeeee
Majengo sokoni music